Nyuma ya Mapazia - cover

Nyuma ya Mapazia

Ben R. Mtobwa

  • 10 januari 2023
  • 9789966565921
Wil ik lezen
  • Wil ik lezen
  • Aan het lezen
  • Gelezen
  • Verwijderen

Samenvatting:

Tanzania iliingia katika uchaguzi mkuu ulioshirikisha vyama vingi kwa mara ya kwanza mwaka wa 1995. Kampeni kubwa za kitaifa na kimataifa zilifanyika hadharani na sirini. Yako mengi yaliyokuwa yakiendelea ëNyuma ya Mapaziaí. Mengi ya kutisha na kuogofya, na ambayo yaliambatana na matumizi makubwa ya pesa, mauaji ya kikatili na ujambazi usio na kifani. Joram Kiango, Inspekta Kombora na kikosi kizima cha polisi wanagonga mwamba katika harakati zao za kutatua kizungumkuti hicho. Kutokweka kwa King Halfan King na maiti ya mpenziwe kupatikana ikielea ufukweni wa Bahari ya Hindi kunazidisha maswali mengi bila majibu. Hata hivyo, kizungumkuti hiki kitatatuliwa?

We gebruiken cookies om er zeker van te zijn dat je onze website zo goed mogelijk beleeft. Als je deze website blijft gebruiken gaan we ervan uit dat je dat goed vindt. Ok